Artist: Kalamashaka ft Natasha Gatabaki
Song: Songa Hapa
Album: Ni Wakati
Year: 1998
Producer: Tedd Josiah
Record Label: Blu Zebra
Lyrics:
Chorus [Nikki]
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni
Verse 1
umeni-attract vile mic yu-attract MCs
tunafaa ku-catch breeze kule West Indies
nakutamani, toka zamani
figure yako, mwili yako, sura yako that pretty face
makes me feel so good
kama Mase niaje, sema
ingawa Beemer sina
expensive dinner Steers pesa sina,
lakini nitakupatia satisfaction
tukiwa si wawili, nikupatie action
mi sio amateur, si-need introduction
nikupe Thriller, mpaka usahau Michael Jackson
first things first...
body massage
relax Oteraw sasa yuko in charge
nipe ulimi dondosa
haki huna makosa
unafaa kucheki vile wewe ni kipusa
kila nikikucheki ninataka kukugusa
Chorus [Nikki]
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni
Verse 2
toka zamani nilikuwa nikitafuta
lakini siku moja wewe nilikukuta
ulinipeleka high ni kama... nimevuta
walai, nataka kukubamba wewe kuja
uwe wangu moja namba
nikupeleke kwa yangu keja kule viti tu-get kinky without SWV
niwe nawe mpaka siku nita-meet
Tupac na BIG
ile kitu chanijazz kukuhusu umenicheki kwenye TV
na pia niki-wreck mic yo
na bado wee hujipi
vipi, wataka nini
nikupe three wishes kama genie
lakini mimi binadamu
na nina hamu ya kukudara
kwanza nikiona watabasamu
naitwa na romance kama butler
kuja uwe wangu Cleopatra
niwe wako, Black Julius Caesar
unachohitaji ntahimiza
sikiza, supuu, word is bond
without mavinyu let's get it on
on and on and on
till the break of dawn
Chorus [Nikki]
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni
Verse 3
si siri
wewe ni mzuri mpaka John Pope wa pili
akikuona haki atasema [my, my, my]
kuja hivi tu-get S.E.X
kichwa hivi nitakupa
mpaka utadhani
eti Romeo amefufuka
honey,'kidhani nikikuona natamani
niingize mguu wa tatu huko ndani
kwani, nacheki hiyo booty
nawaza niikute
niivuruge
hadi mbao wee utupe
njoo tuvuke
baby boo, mpaka kule Dandora
phase two kwa paradise
yangu bora
yenye miguu nne na matress kubwa
ya Nakumatt
panda
zima taa
kisha washa mshumaa
kichuma
oh yes
siku hizi mambo yangu yako B to the O-X
word check
kama L to the O-X
wanadhani nina manupaa wa end respect
wanataka S to the E-X
word play
lakini yo ni wewe ninataka nawadia kama vile P to the O-X
Chorus [Nikki]
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni
Songa hapa nikuelezee yalo moyoni
tukifika ukingoni
tutarudia mwanzoni